Na Stephen Jackson-Dodoma
Mashindano ya michezo vyuo vikuu Tanzania (TUSA) yanatarajia kuanza Leo mjini Dodoma.
Katika michuano hivyo takribani vyuo 22 vimethibitisha kushiriki na tayari hadi sasa vimeshawasili katika viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)tayari kwa michuano. Miongoni mwa vyuo hivyo ni:
OUT,UDSM,ZU,ARU,SUA,MUST,MoCU,SUZA,ST Joseph,Uol Stephano,MUCE,DUCE,ECKENFORD,TEKU,ST. JOHN DODOMA,STEPHANO MOSHI,,SUMAIT,TEKU TABORA,RUCO,MZUMBE na MUM,
Chanzo mtilah blog
Comments