KITUO KIPYA CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI MKOANI DODOMA KUJENGWA KWA MTINDO WA KISASA.



Kupitia maboresho ya Mji wa Dodoma ambao ndio makao makuu ya serikali ya Tanzania,Serikali kupitia wizara ya ujenzi imejipanga kujenga kituo kipya cha mabasi yaendayo mikoani nje kidogo ya mji kwa lengo la kuondoa msongamano unaoweza kusababishwa na ukuaji wa mji wa Dodoma. Kituo hicho kinatarajiwa kuwa cha kisasa zaidi kitakachokidhi mahitaji husika ya usafirishaji abiria.

Comments