
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)
Imefanikiwa kukusanya Tshs.Trilion 7.87 katika kipindi cha Julai-Desemba kwa mwaka wa fedha 2017/2018 sawa na ongezeko la asilimia 8.46% ya kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 ambapo mamlaka ilikusanya kiasi cha shilingi Trilion 7.27
Aidha katika mwezi Desemba pekee mamlaka hiyo ilikusanya jumla ya Tshs Trillion 1.66 ikiwa ni ongezeko la 17.65% ikilinganishwa na makusanyo ya Desemba 2016 yaliyokuwa Tshs.Trilion 1.41
Chanzo; Jamii forum
Comments