Habari za kushtukiza!!! MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU APOTEZA MAISHA

Mwanasiasa mkongwe kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo alfajiri wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya taifa ya muhimbili.

Marehemu Kingunge atakumbukwa na watanzania kutokana na jitihada alizozionesha katika ulimwengu wa siasa na pia  kiongozi wa serikali aliyewai kushika  nafasi ya mkuu wa mkoa Tanga na Singida, waziri katika wizara mbalimbali na pia katibu mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM). 

Mungu ailaze roho yake mahalipema peponi.

Comments